MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

MISS TANZANIA 2014, AMEGUSHI UMRI, NA HUU NDIO UMRI WAKE......

 
Aliyekuwa mshiriki wa Miss Tanzania, Siti Mtemvu, amezua mjadala mkubwa sana baada ya wadau kusema kuwa amegushi umri na si kweli kuwa ana umri wa miaka 18, kutokana na majanga hayo watu wametoa ushahidi wa Passport yake inayoonesha kwamba ana umri wa Miaka 25........................


kutoka JF

Toka mshindi wa miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu atangazwe yameibuka maswali mengi sana, juu ya umri wake halisi, yeye akisema ana miaka 18 na baba yake akisema amezaliwa 1989 na mama yake akisema amezaliwa 1985, na uku kamati ya miss tanzania ikisema amezaliwa 1991 hivyo ana miaka 23...

Team ya kazi ilibidi iingie mtaani hapa Dallas ili kuweza kubaini ukweli wa mambo kuanzia elimu yake na umri sahihi, tumeweza kupata nyaraka zake mbali mbali kuanzia za elimu hadi za kuzaliwa, na bila kusahau yale mambo ya faragha nayo pia hayakukosekanika kama ilivyo desturi mabinti wa kisasa.

Huyu binti wa Mtemvu ana elimu zaidi ya ile ya form IV aliyoipatia Bongo na kuishia kupata mswaki, na sasa hapa anajishughulisha na mambo ya Acting/modelin Akiwa amezaliwa 31 May 1989 kama inavyoonekana kwenye passport yake.

Jamiiforums ni sehemu ya heshima, tunashindwa kuweka picha zake za faragha au video kwa kuwa lengo letu sio kumdhalilisha bali ni kuweka ukweli bayana, kadri siku zinavyo kwenda mengi zaidi yatajulikana juu ya huyu mrembo ambaye wengi mnasema hana sifa hiyo
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment