MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

KANYE WEST NA KIM KARDASHIAN, WAKO NJIANI KUTENGANA.

Msanii wa Hip Hop nchini Marekani, Kanye West, ameamua kuhama moja kwa moja nchini Marekani Na kwenda Paris, yeye na Mwanae North, ingawaje mzazi mwanzie Kim Kardashian, amegoma kwenda huko Paris.................


Wawili hao wamekuwa kwenye mavutano makubwa, mtandao wa Radar online,  umetoa Taarifa kuwa kabla ya sherehe ya siku ya Kuzaliwa ya Kim, iliyofanyika huko Tao NightClub, Las Vegas.


“kanye alimwambia Kim kwa upole kuwa anapanga kuhamia Paris, na amepanga kufanya hivyo bila yeye[KIM]. Ilikuwa kama ngumi nzinto nyuma ya kichwa.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment