Wasanii
wa Muziki nchini, T.I.D na DULLY SYKES, wamevunja Bifu yao na kuamua kufanya
ngoma ya Pamoja, na ngoma hiyo inakwenda kwa jina la Money Girl, kupitia
kipindi cha XXL – Clouds Fm, Mnyama T.I.D, Alifunguka na kusema............
“hakuna
sababu ya kuendelea kulumbana kwani wana kazi kubwa ya kufanya Muziki kwaajili ya Msahabiki wao”
“Unajua
mimi na Duly hatukukutana katika ngoma ndio maana tumeamua kufanya hiyo”
Aliendelea
kwa kusema kuwa Dully unajua yuko na studio nzuri sana sasa hivi, so dully the
first naamini anafanya nyimbo nyingoi za Bongo Fleva, Idea ya wimbo ni yangu
chochote lazima inproduce, nilimtumia chorus Fulani hivi, ili yeye aweze
kutengeneza Beat.
Alifunguka
mambo mengi sana na program zao nyingi, kikubwa ni wawili hao wameamua kumaliza
tofauti zao na kuamua kufanya kazi.
Hiki
ni kitu kizuri kwa wasanii wa muzikmi wa Tanzania kufanya hivyo, kwani Bifu
hazipeleki mziki mbele bali nyuma.
0 maoni:
Post a Comment