MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

MAVAZI YA KIJESHI ALIYOYAVAA DIAMOND PLATNUMZ, YAZUA TIFU NA "JWTZ" WATOA TAMKO, SOMA HAPA

 Soma Taarifa utoka jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania, kufuatia kitendo cha msanii wa muziki nchini Diamond Platnumz, kuvaa nguo za kijeshi katika Tamasha la Fiesta hapo jana, bofya hapo chini kujua nini wamesema makao makuu ya Jeshi.............


JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO

Simu ya Upepo : “N G O M E” Makao Makuu ya Jeshi,
Simu ya Mdomo : DSM 22150463 Sanduku la Posta 9203,
Telex : 41051 DAR ES SALAAM, 20 Octoba, 2014
Tele Fax : 2153426
Barua pepe : ulinzimagazine@yahoo.co.uk
 
 Tovuti : mwanzo    | JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA


Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatoa taarifa kwa wananchi wote kuwa ni kosa kisheria kumiliki au kuvaa sare za JWTZ kwa mtu yeyote asiyehusika.

Aidha, kumeonekana matukio kadhaa ya baadhi ya vikundi, ama mtu mmoja mmoja kumiliki au kuvaa sare za JWTZ. Inakumbushwa kuwa kwa yeyote atakayeonekana amevaa ama kumiliki sare hizo sheria itachukua mkondo wake.



Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Mahusiano
Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
S.L.P 9203, Dar es Salaam, Tanzania.

Kwa Mawasiliano zaidi: 0783 - 309963
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment