MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

R.I.P- YP NA SHERY MWANA, SANAA YA BONGO IMEKUMBWA NA MAJONZI MAKUBWA.

R.I.P - YP
R.I.P - YP, siku ya leo katika kumepokelewa taarifa za msiba wa msanii wa Muziki nchini alikuwa member wa kundi la TMK WANAUME FAMILY" Mara baada ya Muda Mfupi kupita kukapatikana taarifa ya msiba mwengine wa muigizaji wa Bongo Movie, Shery Mwana. R.I.P SHERY MWANA................

Sherry
R.I.P - SHERY MWANA
Mmoja kati ya Wasanii wa Muziki na Bongo Movie, Kitale, kupitia ukurasa wake wa Instagram, ali-post picha na ujumbe wa kifo cha msanii huyo.
 Sherry II
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment