Msanii wa Hip
Hop, nchini Darasa, anatarajia kudondosha ngoma mpya aliyompa shavu Young
Killer, midundo ya ngoma hiyo imefanywa AM Records, jina la ngoma hiyo ni “Usikariri”..................
Tunapenda kukujuza
kuwa ngoma hiyo punde itokapo tutaiweka hapa katika mtandao huu, Ahsante.
0 maoni:
Post a Comment