Msanii
wa Muziki nchini Young Dee, amefunguka na kusema kuwa yuko mbioni kuja na
reality show kupitia Televisheni..................
Kipindi hicho
cha msanii huyo kitakuwa kikiwahusu mashabiki wake wa muziki, alifunguka na
kusema kuwa “Kuna show yangu ambayo ni reality show ambayo tumeshaanza kuishoot
, itakuwa ikizungumzia moment zangu nyingi ambazo hizo moment zitakuwa
zikimuhusu shabiki wangu wa ukweli, ambaye anatamani sana kuwa anapata muda
wake na Young Dee kuona vitu gani anavyovifanya, so hii show ni kwaajili ya
hawa mashabiki wangu kabisa” hayo yalikuwa maneno ya Young Dee.
0 maoni:
Post a Comment