Zaidi
ya nusu ya raia wa Liberia waliokuwa na ajira mara baada ya mlipuko wa ugonjwa
hatari wa Ebola hawana ajira tena kwa sasa,umebainisha utafiti wa banki ya
dunia..................
Inadaiwa
kuwa wafanyakazi waliowengi wameambiwa na waajiri wao kubakia nyumbani huku
wengine wakiachishwa kazi kabisa kutokana mamsoko kulazimishwa kusitisha
shughuli zao
Hivi
karibuni ripoti ya wataalam wa uchumi wa benk ya dunia waliarifu kuwa ugonjwa
wa Ebola ungetarajiwa kugharimu ukanda uliokumbwa na ugonjwa huo kiasi cha dola
billion tatu hadi nne.
Ebola
imeleta madhara kwa takribani watu elfu 14 Afrika Magharibi,huku watu Zaidi ya
5,000 wamekufa huku 2,800 wakiwa ni kutoka Liberia.
Ana
Revenga, ni afisa mwandamizi wa benki ya dunia hata kwa wale wanaoishi katika
maeneo ambayo hajaathiriwa na ugonjwa huo wa Ebola nchini Liberia bado
wanakumbwa na madhara hayo.
Taairifa
hiyo ya benki ya dunia inasema sekta ya kilimo Liberia imeathirika kwa asilimia
70 kutokana na utafiti uliofanyika
0 maoni:
Post a Comment