Kuna
taarifa kutoka nchini Uganda kuwa Davido, aliondoka kwenye moja ya Club kubwa
nchini Uganda mara baada ya DJ kupiga wimbo wa My Number RMX. Tukio hilo
linaunganishwa na Bifu ya chini chini kati ya Diamond Platnumz na Davido.............
Mtandao
wa Bongo5, ulichonga na mdogo wake Chameleone, Pallaso, ambaye walikuwa wote
kwenye club wakipata bata zao, na haya ndio maneno ya Pallaso
“ I don’t know, I
missed that party, we were already partying and I was not really attention so I
don’t know” hayo yalikuwa maneno ya Pallaso kufuatia mahojiano aliyofanyiwa na
Bong5.
Aliendelea
kwa kusema kuwa “I heard some stories but you know there is a lot of gossip
going on in Kampala so you could never know what to trust and what not to
trust, but I did not really see that part.
0 maoni:
Post a Comment