KOREA KUSINI KUANZISHA UTATA
Raia wa korea kusini Lee Myung-bak ametembelea visiwa
Ambavyo Japan pia inadai kuwa ni eneo lake, hatua ambayo
Huenda ikaleta mvutano wa kidiplomasia kati ya nchi hizo mbili.
Lee Myung-bak ametembelea visiwa hivyo vinavyojulikana kama
Dokdo Korea kusini na pia ujulikana kama Takeshima nchin Japan.

0 maoni:
Post a Comment