MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

AJARI YAWAPOTEZA WAKENYA 10 TZ
Takribani wakenya kumi wapoteza maisha mara baada ya
Basi walilokuwa wakisafiria kupata ajari nchini Tanzania.
Basi hililililoanguka katika eneo la Tanga , kaskazini mwa
Tanzania lilikuwa limebeba wanawake sitini raia wa Kenya
Walokuwakatika ziara ya kanisa nchini humo.
Ripoti zinasema kuwa watu sabini na watano wamejeruhiwa
Kutokana na ajari hiyo na wengine wamepelekwa katika
Hospitali ya TUMBI
*********************************************
WAVUVI WAHUWAWA NCHINI TANZANIA
Uongozi wa mkoa wa Geita nchini Tanzania umelazimika
Kuunda tume itakayofuatilia tuhuma za kuuwa kwa baadhi
Ya wavuvi katika eneo hilo.
Kwa mujibu wa mkuu wa mkoa huo Magarula Said, amesema
Taarifa za kuuawa kwa wavuvi hao zimemfikia baada ya kuandikawa
Barua ya malalamiko ya mauaji hayo na chama cha wananchi CUF.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment