MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

RUDISHA ARUDISHA FAHARI YA KENYA
Mkenya David Lekuta Rudisha ameibuka kuwa mwanariadha
wa  kwanza kuandika rekodi mpya kwenye mpya kwenye
mashindano ya riadha katika michezomya olimpiki,
inayoendelea jijini Londoni Uingereza na kisha kushinda
medali ya dhahabu katika mbio za mita mia mbili.
 
Akiwa anashiriki fainali ya michezo ya olimpiki kwa
mara ya kwanza, rudisha mwenye umri wa miaka 23
alinyakuwa ushindi huo na kuwa mtu wa kwanza kukimbia
umbali wa mita mia nane kunako dakika 1,sekunde 40
 nukta 91.
Mwanariadha wa Botswana Nijel Amos,umri 18,alinyakuwa 
medani ya fedha huku chipukizi mwingine kutoka Kenya
Timothy Kitum, akiridhika na medani ya shaba.
  Mwingereza Adrew Osagie alimaliza katika nafasi ya
nane lakini akaweza kuandikisha muda bora wa dakika 1:43:77.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment