MURO KUWACHANA VIGOGO
Aliyekuwa mtangaqzaji wa TBC, JERRY MURO “amesema kuwa muda umefika
Kwa vijana kufanya mabadiliko kwa taifa hili, pia alionyesha machungu kwa
kusema kuwa taifa linapotea kwa dhuluma na ufisadio unaofanywa na watu
wachache wanaojilimbikizia mali.
Halisema hayo wakati halipokuwa anafanya maojiano katika moja ya kituo cha
Habari jijini Dar es salaam halisema kuwa kati ya watu walio nacho na wasio nacho
ni kubwa sana hivyo basi watanzania walio wengi hawanufaiki na rasilimali zao
0 maoni:
Post a Comment