BRAZIL YAMWAGA MACHOZI
Timu ya mexico imewashangaza mashabiki wa mpira
Kwa kuichapa Brazil kwenye fainali za kombe la Olimpiki
Katika uwanja wa wembley mjini London leo.
Dakika ya 29 kipindi cha kwanza timu ya mexico hilijiandikia
Bao la kwanza kupitia mchezaji wake Oribe Peralta, mchezaji
Huyo haliweza kuitumia fursa iliyotokana na kosa la beki wa
Brazil kuchezea katika nusu ya uwanja kwa upande wa brazil
Na kuhisababishia timu hiyo kupigwa bao la kwanza.
Mnamo dakika ya 75 timu ya mexico kupitia mchezaji


0 maoni:
Post a Comment