MSAADA WA RWANDA WATEGEMEA SHURUTI.
Serikali ya uingereza imeeleza shuruti zinazofaa
Kutekelezwa kabla ya kuanza tena kuipa tena
Rwanda msaada, moja kati ya nchi rafiki wa
Uingereza kwenye maswala ya maendeleo.
Waziri wa uingereza amesema kuwa anatalajia
Serikali ya Rwanda itashirikiana na Rais wa Uganda
Ambaye ni mwenyekiti wa mazungumzo kuhusu
Msuko suko wa jamuhuri ya Demokrasia ya congo.
*******************************
MISRI KASI MPYA
Raisi wa misri Mohamed mosrsy ametangaza kuwa
Anamuondoa waziri wa ulinzi na mkuu wa jeshi,
Mwana Hussein Tantawi pamoja na naibu wake.
Pia amesema anafuta sheria iliyoipa jeshi madaraka
Makubwa zaidi.
Mabadiliko hayo yasiyotarajiwa kuusu majenerali wawili
Wakuu wa misri , yatatangazwa na msemaji wa Rais kwenye
Mkutano na waandishi wa habari uliotangazwa moja kaw moja
Kwenye luninga.
0 maoni:
Post a Comment