WAKALA WA MAHARAMIA AFUNGWA MAREKAN
Raia mmoja wa Somalia ambaye alikuwa wakala
wakati wa mazungumzo
Kuhusu kuachiliwa kwa mateka wa marekan
amefungwa miaka 12 nchin
Marekan.
Mohammad Saaili alipatikana na hatia mwenzi wa
April kwa makosa ya uharamia
Utekaji nyara wakati wa mashua ya kifahari ya
SV Quest ilipotekwa nyara na maharamia
wa kisomalia karibu na Oman.
Mkuu wa mashitaka aliambia mahakama kuwa Shibin
alipokea kiasi cha dola 30,000
Kwa kazi yake ya uajenti wa maharamia.
0 maoni:
Post a Comment