MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

        WAKONGO NAO WATOROKA LONDON OLIMPIKI
Ujumbe wa watu wane katika timu ya Olimpiki kutoka
Jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo wametoweka jijini
London.
Cedric mandembo, aliyeshiriki katika mashindano ya mchezo
Wa judo na makocha wa timu za ndondi, riadha na judo hawajaonekana
Tokea kumalizika kwa sherehe za kufunga michezo hiyo siku ya jumapili.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment