MJI WA WANAWAKE WAJENGWA SAUDI ARABIA
Nchini Saudi Arabia tayari kuna vyuo vikuu na
afisa na hata
Migahawa inayowatenganisha watu kutokana na
jinsia zao.
Kwa sasa mji mmoja wa viwanda unaonuiwa kuwa wa
Wanawake pekee ujulikanao kama Hofuf umeanza
kustawishwa
Mashariki mwa taifa hilo.
Serikali imeahidi kuwa miji mingine ya wanawake
pekee itajengwa
Maeneo mengine ya nchi.
0 maoni:
Post a Comment