SERIKALI YATAKIWA KUWAPA VIPAUMBELE WANAFUNZI
WA SAYANSI
Serikali imeaidi kuendelea kutoa viupaumbele
mbalimbali kwa
Wanafunzi wanao soma masomo ya sayansi kwa
lengo la
Kuwamasisha wanafunzi kuendelea kupenda masoo
hayo.
Hayo yamesemwa jijini Dar es salaam na
mkurugenzi wa elimu
Ya juu Agustino kwenye maadhimisho ya miaka 20
ya chuo kikuu
Ulia katika kitivo cha elimu ya sayansi.
Bw.Agustino amesema kuwa miongoni mwa
viupaumbele vitavyowafanya
Wanafunzi kupenda kupenda masomo ya sayansi ni
kutoa mikopo pamoja
Na kutoa fursa kwa wanafunzi kwenda kusoma nje
ya nchi.
0 maoni:
Post a Comment