MAFURIKO YASABABISH VIFO NIGERIA
Takribani watu 33 wameuawa kufuatia mafuriko
Makubwa katikati ya jimbo la Plateau nchini
Nigeria.
Afisa mmoja w shirika la kutoa misaada,Abdussalam
Amesema kuwa maelfu ya watu wameachwa bila
makazi
Baada ya makazi yao kusombwa na maji.
Amesema usafiri umetatizika baada ya barabara
kadhaa
Na madaraja kusombwa na maji na hivyo kuvuruga
shughuli
Za kutoa misaada.
0 maoni:
Post a Comment