MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG
KOFFI OLOMIDE ASHITAKIWA KWA KUPIGANA.
Mwanamuzik mashuhuri barani Afrika Koffi olomide
Ameshitakiwa kwa kumpiga mtayarishaji wake wa
Muziki.
Mwanamuziki huyo alikamatwa na kufungwa kwenye
Kituo cha polisi na kufikishwa mahakamani .
Waandishi wa habari wanasema kuwa mahakama hiyo
Ya Kinshasa ilifurika watu wengi sana kuja kumona kiongozi
Huyo wa bendi ya Quartier Latin akiwa kizimbani.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment