MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG
WACHIMBA MADINI 30 WASHAMBULIWA KWA RISASI.
Zaidi ya watu 30 wauwawa katika makabiliano kati ya polisi
Na wachimba madini wanagoma Afrika kusini.

Waziri wa polisi wa Afrika kusisin amesema mahafa hayo
Yaliyokea katika mgodi wa marikana nchin humo.
Polisi walifyatua risasi baada ya kushindwa  kuwatawanya
Wagomaji hao waliokuwa wamejihami kwa marungu na mapanga.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment