MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG
FERDINAND ATOZWA FAINI
Beki wa timu ya MAN U, Rio Ferdinand ametozwa faini puni
45,000 sawa na dola za kimarekani $ 71,000 na chama cha
England baada ya kupatikana na hatia ya kutumia lugha
Mbovu kuhusu beki wa Chelsea ashiey cole.


Alipata hatia hiyo mara baada ya kumuita mchezaji huyo
Choc ice kwa maana ya mtu mweusi nje na ndani mzungu.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment