RAMADHANI IMENG’OA NANGA HAPO JANA
Waumini wa Dini ya kiislam duniani kote leo waadhimisha ibada
Maalum baada ya mwenzi mtukufu wa Ramadhani kumalizika
Hapo jana ,leo hii wameswali swala ya Eidd katika maeneo mbalimbali
Duniani,
Ibada hiyo kitaifa imeswaliwa songea, shekhe mkuu mufti Simba
Ndiye aliyekuwa mgeni rasmi .
Waumini hao wametakiwa kuendelea na ibada hata katika siku Za kawaida.




0 maoni:
Post a Comment