MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

          MELES ZENAWI WA ETHIOPIA AMEFARIKI.

Alikuwa na umri wa miaka hamsini na saba na ni mmoja

Wa viongozi wenye ushawishi mkubwa na ambaye utawala

Utawala wake ulikumbwa na utata barani afrika.

Hali yake ya afya imekuwa ikiangaziwa kwa majuma

kadhaa sasa

 ingawaje hakukuwa na thibitisho kuhusu alichokuwa

 akiugua hasa.

Meles Zenawi aliingia madarakani mwaka 1991 baada ya

mapinduzi lakini akapokea sifa kutoka kwa mataifa ya magharibi.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment