MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG
KUTOWAFUKUZA WALIOGOMA MGODINI
Kampuni ya madini ya lonmini imeondoa tishio lake la
Kutaka kuwafukuza kazi wafanyakazi wa mgodi walioshindwa
Kurejea kazini katika mgodi kufuatia mapambano na polisi wiki
Iliyopita nchini afrika kusini.

Uwamuzi huo umekuja mara baada ya serikali kuitaka kampuni hiyo
Kuondoa tishio hilo la kutaka kuwafukuza kazi wafanyakazi wake.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment