Msanii
wa Muziki wa Bongo Fleva, nchini Tanzania, Diamond Platnumz, ambaye ni mmoja
kati ya washindi wa Tuzo za Channel O, ameungana na wasanii wenzie wakubwa wa
Afrika katika kurekodi wimbo wa Kupinga Ugonjwa wa Ebola, “AFRICA AGAINST EBOLA”.................
Baadhi
ya wasanii walioshiriki katika wimbo huo ni, Iyanya, Donald,Banky
W,Kcee,Mafikizolo,Sean Tizzle na mwenyewe Diamond Platnumz na wengine kibao.
0 maoni:
Post a Comment