MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

DRAKE “KARRUECHE IS NOT MY TYPE” BIFU JIPYA KATI YA DRAKE NA CHRIS BROWN.

1207-drake-karrueche-chris-brown-tmz-01
Hivi karibuni kumekuwa na utata kati ya Chris Brown na X wake Karrueche, ambao umesababishwa na Drake kufuatia taarifa kutoka kwa CB, ni Kwamba Drake alifanya mapenzi na K, wakati akitumikia kifungo......................

Lakini tuhuma hizo zinasemekana ni uzushi mtupu na Drake amekanusha na kusema kuwa Karrueche siyo Type yake, yeye ni mzee wa mizigo minene, kiswazi tusema “Mishando” .

Hii ni taarifa iyopostiwa na TMZ “Sources connected with Drake say there's NO truth to the dating allegation ... he says Karrueche isn't even his type. As one source puts it, "Drake's an ass man. Think about it, all the strippers he gets with ... the first out of his type was Rihanna."

Drake acknowledges he hung out with Karrueche in Toronto ... but only because she was friends with a girl who he was hooking up with.


Karrueche has jumped into the fray ... claiming Chris repeatedly "mistreated" her. Given the Rihanna backdrop, that word is loaded. “
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment