Bunge la Afrika kusini liligeuka kuwa
uwanja wa vita ambapo wabunge wa upinzani ilifikia hatua ya kuvutana mashati...................
na
maafisa wa usalama na kufanya wabunge wa upinzani wa chama cha Economic Freedom
Fighters (EFF) wakiongozwa na Julias Malema kutolewa nje ya ukumbi wa bunge kwa
nguvu na baadae wabunge wengine wa upanzani nao wakatoka nje ya ukumbi.
Sakata
hilo lilizuka wakati Rais wa nchi hio Jacob Zuma alipokuwa akilihutubia taifa
na kuulizwa maswali na wabunge wa chama cha EFF kinachoongozwa na Julius Malema
wakitaka kujua ni lini atarejesha pesa zilizojengea jumba lake la kifahari la
Nkandla.
Kutoka BBC
0 maoni:
Post a Comment