MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

DIAMOND PLATNUMZ, KUSHINDANIA TUZO NCHINI GHANA

10394045_886139078074574_4914017600323650613_n
Diamond Platnumz, ametangazwa kuwania tuzo za 16, za Vodafone Ghana Music Awards,VGMA, 2015..............


Wasanii watakao wania katika kinyang’anyiro hicho ni pamoja na Tiwa Savage, Don Jazzy na The Mavin Group sambamba na Yemi Alade.


Majina ya wasanii hao yalitangazwa hapo jana latika Hoteli ya La Palm Royal Beach, jijini Accra, na mshindi atapatika kwa kupigiwa kura  4% kutoka kwa wananchi , 30% kutoka kwa Academy na zingine 30 kutoka kwa board.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment