MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

EBOLA:MAKAMU WA RAIS AJITENGA S LEONE

Makamu wa rais nchini Sierra Leone amejiweka kwenye karantini baada ya mmoja wa walinzi wake kuaga dunia kutokana na ugonjwa wa ebola.............


Bwana Samwel Sam-Sumana alisema kwamba hataweza kukaribiana na yeyote kwa muda wa siku 21.

Wakati huo huo utawala umerejesha tena vikwazo kufuatia kuongezeka kwa visa vya ugonjwa wa ebola.


Hatua hizo ni pamoja na ukaguzi wa kiafya wa mara kwa mara na kupunguzwa kwa idadi ya watu kwenye magari ya usafiri
kutoka BBC
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment