Umoja
wa mataifa
unasema kuwa vijana wa kiume waliotekwa juzi nchini Sudan Kusini huenda
walichukuliwia na kundi la wapiganaji lenye uhusiano na serikali.............
Shirika la watoto la umoja wa
mataifa UNICEF linasema kuwa idadi ya watoto waliotekwa na kundi la Shilluk
walikuwa mamia na sio 89 jinsi ilivyoripotiwa awali.
Walioshuhudia walisema kuwa wengi
wa watoto hao wamepelekwa kwenye kambi ya mafunzo kwenye jimbo la Upper Nile na
watoto walio hadi chini ya miaka 12 walikuwa wakibeba bunduki.
Kutoka BBC
0 maoni:
Post a Comment