Takriban watu 20 wamefariki kutokana na
mlipuko wa bomu katika mji wa kaskazini mashariki wa Maiduguri nchini Nigeria........
Mji
huo ulikuwa umeshambuliwa saa za alfajiri siku ya jumanne na washukiwa wa kundi
la Boko haram .
Saa
chache baadaye ,mlipuaji wa kujitolea muhanga alijilipua katika soko la kuuza
ngombe la Gamboru ndani ya mji huo kulingana na walioshuhudia.
Wakati
wa kuapishwa kwake rais mpya wa Nigeria Muhammadu Buhari alisema kuwa
anayahamisha makao makuu ya kijeshi katika vita dhidi ya wapiganaji hao kutoka
mji mkuu wa Abuja hadi Maiduguri.
kutoka BBC
0 maoni:
Post a Comment