Mwongozaji wa Video za
Music hapa Tanzania Hanscana, ni moja kati ya waongozaji wenye mafanikio
makubwa kutokana na kazi zake nyingi kuvuka Boda za TZ,
Hivi karibuni alipost
picha ya mkwanja mnene sambamba na tuzo yake kupitia kazi yake ya kuongoza
Video nzuri.
Hanscana, aliposti
picha ya mtonyo mrefu kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuandika “Umasikini
Tumezaliwa nao Utajiri tutakufa nao”
0 maoni:
Post a Comment