Rwanda imesema marehemu Jacques alikuwa
ameshikiliwa kinyume cha sheria.
Balozi wa Rwanda nchini Ubelgiji
ameandika na kusema kifo cha Jacques ni "mauaji".
Wafungwa katika gereza alipokuwa
ameshikiliwa wanasema alionekana akiwa katika hali nzuri na kwamba alifariki
dakika chache baada ya kuchukuliwa kutoka gereza kupelekwa hospitali baada ya
kuugua.
Umoja wa Mataifa umekuwa ukiishutumu
Rwanda kwa kujaribu kuipindua serikali ya Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza,
madai ambayo Rwanda imekuwa ikiyakanusha.
kutoka BBC Swahili
0 maoni:
Post a Comment