Katika hatua yake ya kwanza ambayo raisi
huyo kufanya baada ya kura kupigwa ,amesema dhamira yake ilikua safi na
hajafanya jambo lolote kinyume cha sheria.
Baraza la seneti linatarajia kufungua
mashitaka ya mtu kupigiwa kura ya kutiliwa shaka ifikapo mwezi ujao na kumfanya
rais kusimamishwa katika wadhifa wake kwa muda wakati kesi ikiendelea.
Lakini Rais Rousseff alisema hana mpango
wa kuachia wadhifa wake huo na kusema "nitaendeleza mapambano haya kwa
kupitia taratibu zote,kuanzia hiyo iliyowekwa na baraza la seneti kwa kuwa nina
uhakika nitaweza kupata fursa ya kujitetea."
Ktoka BBC Swahili
0 maoni:
Post a Comment