MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

KANYE WEST NA JAY-Z, MATATANI DHIDI YA SHABIKI YAO

Wasanii wa music wa Hip Hop nchinini Marekani, JayZ na Kanye West wameingia kwenye utata mkubwa na mmoja ya mashabiki wao mkubwa nchini humo.

Shabiki huyo amefungua kesi dhidi ya wasanii hao kwa kutoa ahadi na kutofanikisha ahadi hiyo ya kuweka Albam nzima ya Kanye West kwenye mtandao wa TIDAL, unaomilikiwa na JayZ.


Kuvunjika kwa Ahadi hiyo imekuja baada ya Albam hiyo kupatikana pia katika mitandao mingine duniani.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment