Donald
Trump anayewania kuteuliwa na chama chake Republican kuwania Urais nchini
Marekani ametangaza sera zake za nje.
Trump
ametoa hotuba yake ya kwanza inayohusu sera za mambo ya nje na kugusia maeneo
mbalimbali ikiwemi mapambano dhidi ya ugaidi na mpango wa nyuklia wa Iran.
RIPOTI: USHINDI WA TRUMP NI HATARI KWA DUNIA
Amezungumzia
pia kuhusiana na mahusiano ya nchi hiyo na Israel, Urusi na China.
Katika
hotuba yake hiyo pia ameishambulia vikali sera hiyo chini ya utawala wa Rais
Barack Obama.
kutoka BBC Swahili
0 maoni:
Post a Comment