Rais wa Baraza la
muungano wa Ulaya Donald Tusk ameonya kwamba maamuzi ya kutia wasiwasi
yanayofanywa na Donad Trump ni miongoni mwa chanagmoto zinazokumba
muungano huo.
Katika barua kwa viongozi 27 wa bara Ulaya bw Tusk pia amesema kuwa anaamini kwamba wote wanakubaliana naye.
Taarifa kadhaa kutoka Washington zimesababisha maandamano dhidi ya Trump katika miji mikuu ya Ulaya.
0 maoni:
Post a Comment