MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

Merkel alaani vikwazo vya Trump

Angela MerkelHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionAngela Merkel
Kiongozi wa Ujerumani, Angela Merkel, amelaani vikwazo vilivyowekwa na Rais wa Marekani Donald Trump kukataza kupokea wasafiri kutoka nchi zenye wa Islamu wengi.
Msemaji wa Bibi Merkel, Steffen Seibert, alieleza kuwa Bibi Merkel, haamini kuwa vita dhidi ya ugaidi, vinastahiki kuwatilia shaka kwa jumla, watu wa asili au dini fulani.
Meya wa London, Sadiq Khan ambaye ni Muislamu alielezea amri hiyo ya marufuku kuwa ya aibu na ya kikatili.
Alisema sera hiyo mpya, inakwenda kinyume na maadili ya uhuru na uvumilivu, ambayo ndiyo misingi iliyojenga taifa la Marekani
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment