MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

Wanaume wanatafuta wanawake kutoka mataifa mengine

Wanaume wanatafuta wanawake kutoka mataifa mengineHaki miliki ya pichaEMPICS
Image captionAthaya Slaetalid na mumewe Jan pamoja na mwana wao Jacob
Kuna upungufu wa wanawake katika kisiwa cha Faroe.
Hivyobasi wanaume katika kisiwa hicho wanatafuta wanawake kutoka maeneo mengine kama vile mataifa ya Thailand na Ufilipino.
Lakini je ni changamoto gani zinazowakumba wanawake wanaoelekea katika kisiwa hicho.
Wakati Athaya Slaetalid alipoelekea katika kisiwa hicho ambapo kipindi cha majira ya baradi huchukua muda wa miezi sita alikuwa akikaa karibu na kikanza ama heater kwa jina la Kiingereza kwa siku nzima.
''Watu walikuwa wakiniambie niende nje kwa sababu kuna jua lakini nilisema'': ''Hapana niwacheni, nahisi baridi sana''.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment