MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

Bei ya mafuta yashuka kwa 5% duniani

 Bei ya mafuta yashuka kwa 5% duniani
Bei ya mafuta imeshuka kwa asilimia 5 licha ya mataifa yanayozalisha bidhaa hiyo kukubaliana kupunguza kiwango cha uzalishaji kwa kipindi cha miezi minane.

Wakikutana mjini Vienna,mawaziri wa kawi kutoka muungano wa mataifa yanayozalisha mafuta OPEC na mataifa yasiozalisha bidhaa hiyo ulikubaliana kuendelea kupunguza kiwango cha mafuta hadi Machi 2018
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment