MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG
VUNJA MBAVU NA VICHEKESHO.
Mwalimu wa Kiswahili aliandika sentesi ubaoni,
“NILIUA MTU”
Akawaambia wanafunzi wabadilishe sentesi hiyo
Iwe katika wakati ujao.
Mwanafunzi 1: akajibu,” Utakwenda jela”

Simu iliita, mume : helow baby ,
Mke: helow sweety.
Mume : leo nitachelewa kurudi .
Mke : nishajua uko na kwa videmu vyako ,
Wewe mwanamme Malaya sana ,sijui ilikuaje
Nikakubali kuolewa na wewe , nakuchukia kama nini.
Sikupendi , sikupendi.
Mume : sawa ila niko BENK hapa .
Mke : hahaaaaa ! ulijuaje kama sina hela , nitolee laki moja
Baby wangu, nakupenda kuliko roho yangu, nakutelekea
Maji ya  kuoga sweety. Usisahau kuninunulia chipsi. Mmwaaaaaaa!.
Mume : unajua kuna foleni sana hapa BENK ya kuchangia Damu ,
Nitachelewa.
Mke : nyoo! Huna pesa ya kunipa mimi wewe, fala wewe , cheki sura
Yako hilivyo mbaya……….!
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment