Diwani wa kata ya Segerea kupitia tiketi ya chadema, ametangaza
kuwania Uraisi ifikapo mwaka 2015,
Diwani huyo ametangaza azma yake ikiwa ni siku chache tangu
kiongozi mwengine wa chama hicho Zito Kabwe nae pia kutangaza
nia ya kuwania Uraisi na vyombo vya Habari leo jijini Dar es salaam
Diwani huyo amesema lengo lake ni kusimamia rasilimali za Taifa
ziwanufaishe wananchi.
MWERA AMAZING BLOG
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment