MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

KUTOKA DASH MC MPAKA D SALASALA


Ilikua ni katika Planet Bongo ya EA RADIO siku ya jumamosi ambapo mtu mzima Dash mc alikuwa na interview katika harakati zake za kupeleka mziki  mbele",ngoma yangu inayokwenda kwa jina la kama ipo ipo niliyomshirikisha mtu mzima vedastor ambaye alikua Dar Stamina zamani,ndo ilinifanya niwe kwenye mjengo wa mzee Mengi pande za mikocheni, Tuliongelea ngoma na katika stories DULLA(MJUKUU WA AMBUA) AKAFUNGUKA hivi ni kwanini usibadil jina ili ulete utofauti kati yako na NASH MC, kusema ukweli ilikua tabu sana kukubaliana ukizingatia ukweli ni kwamba mwaka 2010 nilifanya FREE STYLE

COMPETITIONS za CLOUDS FM,so nina amini jina langu linafahamika na si geni masikioni mwa watu, MWISHO nikaona si mbaya nikaahidi kulifanyia kazi, SASA ile ahadi yangu imefika na NIMEKUBALI kujiita D.SALA, nimeichukua DASH MC nikapata 'D' pia kwenye WASALASALA nikachukua 'SALA' ndio likapatikana D.SALA,jina hili lishaanza kuruka halisema hayo alipokuwa anafanya mahojiano na www.mweraamazing.blogspot.com, msanii huyo ambaye pia ni mwanafunzi wa UDSM.

Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment