WABUNGE MAFISADI KUCHUKULIWA HATUA KALI
Bunge limeanda kanuni za maadili ili kudhibiti
wabunge ambao wanatumia
Mianya ya kanuni zilizopo kufanya makosa mbalimbali
ikiwemo
Kujishuusisha na vitendo vya rushwa.
Maneno hayo yametolewa mjini Dodoma na kuthibitishwa
na mkurugenzi
Wa Idara ya shughuli za Bunge , Bw John Joel
zinaeleza kwamba hatua
Hiyo ya bunge inatokana na wabunge kutumiwa kwa
makosa ya mbalimbali
Wanayoyafanya kama vile kutoa rushwa

0 maoni:
Post a Comment