Rais wa Marekani Barack Obama
ameahidi kuendelea kuunga mkono kwa dhati juhudi za kuleta mabadiliko nchini
Burma.
Katika ziara yake fupi ya kihistoria, Obama
alikutana na Rais Thein Sein na kusema uamuzi wa mwisho kuhusu kuondolewa kwa
vikwazo dhidi ya Burma kutategemea jinsi taifa hilo litakavyoshughulikia
malalamishi yaliyokuwa yametolewa kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu.MWERA AMAZING BLOG
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

0 maoni:
Post a Comment