Nyumba 350 za polisi zinatarajiwa kujengwa eneo la
oystabay ili kupunguza
Tatizo la uhaba wa makazi wa watumishi hao ,
Hayo yamesemwa leo na msemaji wa wizara ya mambo ya
ndani ya nchi Isack Nannga
Wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu
mr4adi huo unaotarajiwa kuanza
Mwaka kesho, akisema
ujenzi huo utaenda sambamba na majengo makubwa ya kibiashara
Amesema mradi huo umekabidhiwa kwa kampuni ya mara
group ya Uganda ambayo itakuwa
Ikisimamia mradi huo na kulipa kodi kwa serikali zaidi
ya shilingi bilioni kwa mwaka .
Mrdi huo unatarajiwa kugharimu zaidi ya bilioni 400
hadi kukamilika kwake.
0 maoni:
Post a Comment