UINGEREZA YAFANYA KWELI KWENYE KRIKETI
England imekamilisha ushindi wake wa kwanza katika
mashindano ya Kriketi kwa zaidi ya miaka 27 nchini India, huku wachezaji wawili
wa Uingereza Jonathan Trott na Ian Bell wakiandikisha zaidi ya mikimbio mia
mmoja kila mmoja katika mechi hiyo iliyochezwa mjini Nagpur.

0 maoni:
Post a Comment