RIHANNA KUTIMIZA MIAKA25.
Mwanamuziki wa nchini marekani, Rihanna amesherekea
Kutimiza miaka 25, hapo jana huku akiwa na mpenzi
wake
Chris Brown.
Mwanamuziki huyo alipiga picha ya pamoja na mpenzi
wake
Chris, na kupeana keki pamoja na marafiki wa karibu
hapo
Jana.

0 maoni:
Post a Comment